Kitengo cha Crop Protection & Garden Tools kinakupa vifaa imara na bora kwa ajili ya kulinda mazao yako dhidi ya magonjwa, wadudu, na changamoto nyingine za kilimo. Bidhaa zetu zinasaidia kuboresha afya ya mimea yako, kuongeza mavuno, na kuwezesha kilimo chako kuwa rahisi, cha kisasa na cha faida zaidi.

Bidhaa katika kitengo hiki ni pamoja na:

Dawa za kuua wadudu
Mashine za kunyunyizia dawa (sprayers)
Zana za bustani na kilimo (majembe, pruners, wheelbarrows)
Kinga na vifaa vya usalama shambani
Vifaa vya utunzaji wa udongo na mimea

Sort:
Show: